Habari

#Live: Rais Samia anahotubia Taifa akiwa Chato (+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio za mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa katika uwanja wa Magufuli Wilaya ya Chato mkoani Geita tarehe 14 Oktoba, 2021.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents