Habari

#Live: Rais Samia Suluhu akishiriki kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio za mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa katika uwanja wa Magufuli Wilaya ya Chato mkoani Geita tarehe 14 Oktoba, 2021.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button