Habari

#Live: Rais Samia Suluhu Hassan alipopokea gwaride lililoandaliwa na Vijana wa Chipukizi 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Gwaride rasmi lililoandaliwa na Vijana wa Chipukizi Tanzania, alipowasili katika Uwanja wa Magufuli Wilayani Chato Mkoani Geita leo Oktoba 14,2021 kwa ajili ya kushiriki katika kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button