HabariMichezo

#LIVE: Yanga na SportPesa waingia mkabata wa mabilioni ya fedha (+Video)

Klabu ya Yanga wameingia kandarasi mpya na Kampuni ya SportPesa ya tsh bilioni 12.33 kwa kipindi cha miaka mitatu.

Hivyo Yanga watapata bilioni nne (4) kila mwaka.

Mkataba uliyomalizika walikuwa wakipewa bilioni moja (1) kwa mwaka na kwa miaka mitano walipata bilioni 5.2

Bonasi kwa sasa Yanga watapatiwa milioni 150 kama watashinda Premier League, milioni 112 kama watashinda Ubingwa wa Azam Sports Federation Cup na milioni 75 endapo kama wataishia Fainali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents