Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
Lizer amshauri Nandy kufungua kesi ya mamilioni kisa wimbo wa Sweety

Baada ya @el_mando_tz kufanya kipindi chake cha @recap_mando kuhusu msanii aliye-claim Sweety ya @officialnandy kufutwa Youtube.
Ambapo alisema haoni kama nyimbo hizo zinafanana na msanii aliyefanya hivyo hajui hasara gani atamuingizia @officialnandy
Producer wa @diamondplatnumz @lizerclassic alikuja kwenye Uwanja wa Comment na kuandika haya:-
“Madogo wanazingua sana, wanachukulia poa kazi za watu, Tatizo pia hao wanaoshushiwa kazi zao, wanakuwa wapole sana, ni kumpa mtu kesi ya mamilioni tu.”

Yapi maoni yako kuhusu sakata hili??
Swipe kuona ujumbe wa @lizerclassic






