BurudaniHabari

Lony atangaza kuachia EP yake ‘Mashine Tatu’

Msanii wa muziki @lonybway ametangaza ujio wa EP yake Mashine Tatu ambayo itaachiwa rasmi Ijumaa hii.

“Rasmi Kabisa Hii Ndio Official Ep Cover Yetu 🙏🏾 #MashineTatuEp Inayotoka Ijumaa Hii Tarehe 24 June 2022 . . Are You Invited?’ alitoa taarifa msanii huyo ambaye anakuja kwa kasi.

Related Articles

Back to top button