Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzMitindoMuzikiUmbeaVideosWema Sepetu
Lukamba aeleza sababu ya P Diddy kwakasirikia pamoja na Diamond Platnumz (Video)
Akipiga story na @el_mando_tz @lukambaofficial amesimulia mwanzo mwisho walivyofika kwa P Diddy na namna walivyopokelewa mpaka kula chakula.
Anasema P Diddy alijaribu kuwaita wakaangalie Movie wote lakini Swizz Beats ambaye ndio alikuwa mwenyeji wao akigoma.
Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa