Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzMahojianoMapenziMuzikiVideosWema Sepetu
Lukamba ashindwa kujizuia afunguka A-Z waliyoyakuta kwa P Diddy wakiwa na Diamond (Video)

@lukambaofficial wakati akipiga story na @el_mando_tz ameeleza namna treatment unazopewa ukifika kwa P Diddy.
Pia ameongelea kwa undani mambo yote walipokuwa kwa P Diddy kwenye Mahojiano hayo.
Anasema kuwa unapewa kila kitu ili upagawe kwanza.
Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa