Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Lukamba: Harmonize hakunisalimia Airport, natamani tuwe sawa

Lukamba ameeleza kutamani kufanya kazi na @officialalikiba kwa kumpiga picha baada ya kuanza kufanya kazi na vijana wake akina @k2ga_tz

Ameongeza kuwa anatamni kuwa na sawa na kila mtu maana zamani kuna sehemu ilikuwa ngumu kuzifikia wakati anafanya kazi na @diamondplatnumz

Mbali na @officialalikiba pia ana Wish siku moha kufanya kazi pia na @harmonize_tz maana ni muda sana kuonana naye na hata kuongea naye baada ya @harmonize_tz kuondoka WCB.

@lukambaofficial ameongelea kukerwa na Watangazaji wa Wasafi FM @jumalokole20 na @idriskitaa akidai wanamuongelea vibaya kwenye kipindi licha ya yeye kuondoka kwa @diamondplatnumz haliyakuwa mawasiliano yake na @diamondplatnumz yako vizuri.

“Kuna siku tulikuwa tunasafiri tukakutana na Harmonize uwanja wa Ndege hakunisalimia sikujua kwanini”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents