Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Lukamba sio mpiga picha tena ni msanii

Kwa sasa ukitaja orodha ya wasanii chipukizi wa Bongo Fleva huwezi kuacha kumtaja aliyekuwa mpiga picha wa @diamondplatnumz @lukambaofficial

Kwa sasa ameingia kwenye tasnia hiyo rasmi baada ya kuamua kutoa ngoma moja na kusema kuwaonba Watanzania wampokee kwenye muziki.

Hii ni jana kwenye maonyesho ya Sabasaba ambapo alikuwa kwenye bando la MEET YOUR STAR lililoandaliwa na @zamaradimketema

Hapa kuna @officialshilole @dullamakabila @mkaliwenuoriginal @zamaradimketema na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents