Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Lukamba: Walimwambia Diamond namloga asinifukuze kazi

Kwa mara ya kwanza @lukambaofficial ameweka wazi kilichomuondoa kwa @diamondplatnumz na kuamua kufungua kampuni yake ya @imagixmedia_tz

Akiongea na @el_mando_tz @lukambaofficial ameeleza kuwa watu wanaomzunguka @diamondplatnumz ni wanafiki sana kwani wanajifanya wanamjua @diamondplatnumz zaidi kuliko familia zao.

@lukambaofficial ameongea yote kuhusu maisha aliyokuwa akiishi wakati anafanya kazi na @diamondplatnumz na maisha baada ya kuacha kufanya kazi na @diamondplatnumz

“Watu walio karibu na Diamond walimwambia eti mimi namloga ili niwe nasafiri naye kwenye Ulaya na mataifa mbalimbali, hawakujua kama mimi nasafiri kikazi” aliongeza Lukamba

Related Articles

Back to top button