Habari
Lukuvi arejeshwa kwenye baraza la mawaziri
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua William Lukuvi kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu).
Lukuvi anachukua nafasi ya Jenister Mhagama ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Afya akichukua nafasi ya Ummy Mwalimu ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Written by Janeth Jovin