Lulu Diva aeleza alivyoteseka baada ya kuachika kwenye mahusiano yake (+ Video)

Ameongeza kuwa kwa sasa hayupo kwenye mahusiano yoyote na hataki kuingia kwenye mahusiano kwa sababu yupo single bali anatafuta mtu sahihi kwa sasa maana tayari yupo single na mahusiano yaliyopita aliachwa na alilia sana.

Related Articles

Back to top button