Burudani

Lulu Michael athibitisha kuwa na tofauti na Wema, Nimem- unfollow na meseji zake sijajibu mana anaona hajanikosea (+ Video)

Yeye alihisi hajanikosea ila mimi niliona amenikosea, alinitumia meseji sikuijibu kwa sababu hakuwa anaonyesha kama amenikosea bali alisema sina makosa, sikuwa na kitu cha kujibu”

Sina uhakika kama namba yake ninayo nahisi nimeifuta. – @elizabethmichaelofficial kuhusu ugomvi wake na @wemasepetu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents