Lulu Michael: Sikutaka kuolewa na mwanaume mwenye watoto (+ Video)

Leo mchana huu msanii wa Bongo movie na mke wa mkurugenzi wa EFM Majizzo Lulu Michael ameeleza sababu za kuzaa na mwanaume mwenye watoto tayari.

Akiongea na wana habari wakati wa uzinduzi wa duka lake la nguo la #LizPayless ameeleza kuwa sababu za kueleza ni kwamba aliulizwa swali na swabiki akitaka kufahamu yeye amewezaje kuzaa na mwanaume mwenye watoto tayari ?

 

Related Articles

Back to top button