Maambukizi ya Corona yanaongezeka Duniani kutokana na Virusi aina ya Delta

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Maambukizi ya virusi vya Corona yanaongezeka kutokana na Virusi aina ya Delta

Ghebreyesus amesema Visa vipya milioni 4 vya COVID19 viliripotiwa kwa wiki iliyopita na wanatarajia Maambukizi kuzidi milioni 200 ndani ya Wiki mbili.

Kwa wastani, maambukizi katika maeneo mengi yameongezeka kwa asilimia 80 au karibu mara mbili, katika wiki nne zilizopita. Barani Afrika, vifo vimeongezeka kwa asilimia 80 katika kipindi hicho hich

Related Articles

Back to top button