HabariSiasa

Mabehewa ya Treni ya kisasa yaanza kuwasilia Tanzania

Mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) yaliyotengenezwa na kampuni ya SSRST (Sung Shin Rolling Stock Technology) ya nchini Korea yameanza kuwasili nchini katika Bandari ya Dar es Salaam tarehe Novemba 22, 2022.

Related Articles

Back to top button