AfyaHabari

Madaktari wampigia magoti Rais Museveni wakiomba agombee muhula wa saba

Baadhi ya madaktari nchini Uganda wakiongozwa na rais wa Chama cha Madaktari nchini humo, Dkt. Odongo Oledo wamepiga magoti mbele ya Rais Yoweri Museveni wakimuomba agombee Urais kwa muhula wa saba mwaka 2026.

Rais Museveni mwenye umri wa miaka 78 amekuwa madarakani tangu mwaka Januari 26, 1986 na uchaguzi mkuu ujao unatarajiwa kufanyika mwaka 2026.

Madaktari hao wanaowakilishwa na Chama cha Madaktari Uganda (UMA) wamemuomba Rais Museveni wakati wa kongamano lililofanyika jijini Kampala.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents