Habari

Madam Rita ahoji wasanii wanaotoka BSS kutosainiwi kwenye lebo??

Kupitia kipindi cha Recap na Mando amezungumzia mamo mbalimbali ikiwemo kuzichamua ngoma mbili yaani Yatapita ya Diamond na nitongopze ya Rayvanny Ft Diamond.

Uchambuzi wote tayari upo youTube pia Madam Rita amezungumza kwa urefu na kufafanua kuhusu video iliyosambaa mitanndaoni ikimuonyesha Producer Master Jay ambaye pia ni miongoni mwa m,ajaji kwenye shindano la BSS kumkataza mmoja ya washiriki kuimba nyimbno za Kenya.

Madam Rita amezungumza na @el_mando_tz kupitia kipindi cha Recap na Mando na kufafanua kwa urefu sakata lilivyokuwa lakini pia akiuliza maswali kwanini wasanii wannaotoka BSS hawachukuliwi nna lebo za hapa Tanzania??

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents