Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Madee aitumia siku ya wapendanao kutoa chakula kwa wenye uhitaji

Rapa mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Hamad Ally alimaarufu kama @madeeali akiongozana na mtoto wake wamemaua kuifanya siku ya wapendanao isionekane ni siku ya wale waliopo kwenye mahusiano ya kimapenzi tu.

@madeeali ameitumia siku hiyo kutoa chakula kwa watu wenye uhitaji pamoja na kuwafariji.

@madeeali amezungumza haya kufuatilia kile alichoamua kufanya na kueleza nini kilimsukuma kufanya hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents