UncategorizedVideos
Madereva daladala waomba nauli za daladala zipandishwe kisa bei ya mafuta (Video)

Madera daladala wamelalakia suala la kupanda kwa bei ya mafuta bila wao kuangaliwa kwani wamedai kwamba wao ndio watakuwa waathirika wa kubwa.
Madereva hao wameomba serikali kupandisha bei za daladala ili na wao wapate chochote na sio mzigo wote waelemee wao.