Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Madonga amjibu Eric Omondi, mimi ndio kiboko yake Kenya

Kupitia kipindi cha Recap na Mando @el_mando_tz amefanikiwa kuzungumza na @k_mandonga na kumuuliza baadhi ya maswali ikiwemo je aliisikia kauli ya @ericomondi kuwa akienda tena Kenya aangalie asitumike watu wengine wajipatie hela kupitia yeye.

@k_mandonga amemjibu @ericomondi na kusema yeye ndio kiboko wa @ericomondi Kenya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents