Katika hali isiyokuwa ya kawaida Wapenzi wanaotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa @meet.us79 wamezungumza na Bongo5 Tv jinsi walivyokutana kupitia mtandao wa instagram ambapo kwa sasa wanatarajia kufungua ndoa siku za hivi karibuni
Mbali na hilo wapenzi hao wameeleza kupata Dm nyingi kutoka kwa watu mashuhuri ikiwemo mastaa wakubwa kuhusu michongo na namna ya kufanya kazi za ubalozi
Unawapa maski ngapi wapendwa hawa dondosha comments yako hapo chini.