Burudani

Majina ya wateule wa KTMA 2015 yatangazwa

Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) kwa kushirikiana na Kilimanajaro Premium Lager leo wametangaza rasmi wateule (Nominees) wa vipengele 32 vya tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Award).

4K0A0490
Mratibu wa tuzo za muziki kutoka BASATA, Maregesi akitangaza majina akiwa pamoja na mwakilishi wa AUDITAX International, Pavel Gabriel na Pamela Kikuli, meneja wa Bia ya Kilimanjaro

Mchakato wa kuanza kupiga kura kwa kutumia njia zilezile ili kuchagua mshindi kwa kila kipengele utaanza tarehe 4 May 2015 hadi June 5, 2015.

1. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIUME

1 MZEE YUSSUF
2 CHRISTIAN BELLA
3 DIAMOND PLANUMZ
4 ALLY KIBA
5 NYOSHI EL SAADAT

2.MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA- KIKE

1 VANESSA MDEE
2 KHADIJA KOPA
3 ISHA MASHAUZI
4 SHAA
5 DAYNA NYANGE

3.MWIMBAJI BORA WA KIUME- TAARAB
1 MZEE YUSSUF
2 PRINCE AMIGO
3 HASSAN VOCHA
4 HASSAN ALLY
5 MUSSA KIJOTI

4. MWIMBAJI BORA WA KIUME- BONGO FLEVA
1 ALI KIBA
2 BEN POL
3 JUX
4 DIAMOND
5 BELLE 9

5.MWIMBAJI BORA WA KIUME- BENDI
1 JOSE MARA
2 KALALA JUNIOR
3 KHALIDI CHOKORAA
4 CHAZ BABA
5 NYOSHI EL SADAT

6.MWIMBAJI BORA WA KIKE- TAARAB
1 KHADIJA KOPA
2 ISHA MASHAUZI
3 HADIJA YUSSUF
4 LEIYLA RASHID
5 FATUMA NYORO

7.MWIMBAJI BORA WA KIKE – BONGO FLEVA
1.LADY JAY DEE
2.VANESSA MDEE
3.LINAH
4.GRACE MATATA
5.MALAIKA

8.MWIMBAJI BORA WA KIKE- BENDI
HIKI KIMEKPSA MTU

9.WIMBO BORA WA TAARAB
1 HASID HANA SABABU-HADIJA YUSSUF
2 LADY WITH A CONFIDENCE-KHADIJA KOPA
3 CHOZI LA MAMA-MZEE YUSUPH
4 FANYA YAKO-LEYLA RASHID
5 MAPENZI HAYANA DHAMANA-ISHA MASHAUZI

10.WIMBO BORA WA MWAKA
1 MWANA -ALI KIBA
2 NANI KAMA MAMA -CHRISTIAN BELLA FT OMMY DIMPOZ
3 GERE -WEUSI
4 NITASUBIRI -JUX
5 BONGO HIP HOP -FID Q

11.WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
1 OTILIA-FM ACADEMIA
2 KIU YA HAKI-MASHUJAA BAND
3 SAUTI YA MAREHEMU-MAPACHA WATATU
4 GANDA LA MUA-THE AFRICAN STARS (TWANGA PEPETA)
5 WALE WALE-VIJANA NGWASUMA

12.WIMBO BORA WA R&B
1 NITASUBIRI -JUX
2 UNANICHORA -BEN POL
3 VITAMIN MUSIC -BELLE 9 FT JOH MAKINI
4 SISIKII -JUX
5 NI PENZI -DAMIAN SOUL

13.WIMBO BORA WA HIP HOP
1 BONGO HIP HOP -FID Q
2 MFALME -MWANA FA FT GNAKO
3 KIPI SIJASIKIA -PRO J FT DIAMOND
4 GERE -WEUSI
5 I SEE ME -JOH MAKINI
6 XO -JOH MAKINI FT GNAKO

14. WIMBO BORA WA REGGA/DANCE HALL
1 LET THEM KNOW-MAUA
2 MAMA AFRIKA -WARRIORS FROM THE EAST
3 MAISHA MAGUMU-WARRIORS FROM THE EAST
4 GREETINGS FOR YOU-RAS SIX
5 TUJIMWAGE-DEDDY

15.RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
1 FERGUSON
2 MSAFIRI DIOUF
3 SAUTI YA RADI
4 J4
5 KABATANO

16.MSANII BORA WA HIP HOP
1 FID Q
2 JOH MAKINI
3 MWANA FA
4 PROFESSOR JAY (PROF J)
5 ROMA

17.WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
1 SURA YAKO -SAUTI SOL
2 KIOO -JAGUAR
3 WALEWALE -JOSE CHAMILION
4 PROKOTO -VICTORIA KIMANI FT DIAMOND,OMMY DIMPOZ
5 SHOW -VICTORIA KIMANI

18.MTUNZI BORA WA MWAKA- TAARABU
1 MZEE YUSSUF
2 THABITI ABDUL
3 ISHA MASHAUZI
4 ABDALLAH FERESHI
5 HASSAN ALLY

19.MTUNZI BORA WA MWAKA- BONGO FLEVA
1 ALI KIBA
2 DIAMOND
3 BEN POL
4 BARNABA
5 JUX

20.MTUNZI BORA WA MWAKA- BENDI
1 JOSE MARA
2 NYOSHI EL SAADAT
3 ROGART HEGGA KATAPILA
4 HUSSEIN JUMBE
5 RICHARD MANGUSTINO

21.MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP
1 FID Q
2 MWANA FA
3 JOH MAKINI
4 NIKKI WA PILI
5 KALAH JEREMAYAH

22.MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- BONGO FLEVA
1 NAHREEL
2 MAN WATER
3 MESEN SELEKTA
4 TUDD THOMAS
5 MARCO CHALI

23.MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- TAARAB
1 ENRICO
2 MARLON LINJE

24.MTAYARISHAJI (PRODUCER) BORA WA NYIMBO WA MWAKA- BENDI
1 ALLAN MAPIGO
2 ENRICO
3 SAID COMORIEN
4 AMOROSO
5 ABABUU MWANA ZANZIBAR

25.VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1 MDOGO MDOGO-DIAMOND
2 NITAMPATA WAPI-DIAMOND
3 MWANA-ALI KIBA
4 OLETHEMBA-LINAH
5 ASANTE-AY

26.WIMBO BORA WA AFRO POP
1 MWANA -ALI KIBA
2 MDOGO MDOGO-DIAMOND
3 NISEME -YAMOTO BAND
4 NITAKUPWELEPWETA -YAMOTO BAND
5 KANYA BOYA- MESEN SELEKTA
6 HAWAJUI -VANESSA MDEE

27.WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA
1 NANI KAMA MAMA -CHRISTIAN BELLA FT OMMY DIMPOZ
2 BASI NENDA -MO MUSIC
3 NITAMPATA WAPI -DIAMOND
4 NASIMAMA -LADY JAY DEE
5 HISTORIA -LADY JAY DEE

28.WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA
1 WAITE-MRISHO MPOTO FT FELLY KANO
2 VUMA-VITALIS MAEMBE
3 TUMETOKA MBALI-JAGUAR MUSIC
4 MAMA SHABANI-IFA BAND
5 OMWANA-B.K.SANDE

29.MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKIA
1 BARAKA DA PRINCE
2 BEKA TITTLE
3 AFROMANIAC
4 ALICE
5 BIILLNAS

30.WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA
1 FOREVER -LADY JAY DEE FT DABO
2 MFALME -MWANA FA FT GNAKO
3 KIPI SIJASIKIA -PROF J FT DIAMOND
4 KIBOKO YANGU -MWANA FA FT ALI KIBA
5 KEREWA -SHETTA FT DIAMOND

31.BENDI BORA YA MWAKA
1 FM ACADEMIA
2 THE AFRICAN STARS (TWANGA PEPETA)
3 MAPACHA WATATU
4 MASHUJAA BAND
5 MSONDO NGOMA MUSIC BAND

32.KIKUNDI BORA CHA MWAKA- TAARAB
1.JAHAZI MODERN TAARAB
2.MASHAUZI CLASSIC
3.DAR MODERN TAARAB
4.FIVE STARS
5.WAKALI WAO MODERN TARADANCE

33.KIKUNDI BORA CHA MWAKA- BONGO FLEVA
1 YAMOTO BAND
2 WEUSI
3 NAVIKENZO
4 MAKOMMANDO
5 B.O.B

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents