AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy
Majizzo ataja nyimbo zake 20 bora 2024, Komasava namba moja

Mkurugenzi wa EFM na TVE @majizzo ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024.
@majizzo ametaja nyimbo 20 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi.