Habari
Majizzo awatoa Lilian Mwasha na Masanja Wasafi Fm
Mkurugenzi wa kituo cha EFM @majizzo amezindua kipindi kipya cha dini kupitia TVE ambacho kitakuwa kinaendeshwa na @mkandamizaji @lillianmwasha_ na @hananja.r
@majizzo ameeleza kuwa Watangazaji hao @mkandamizaji @lillianmwasha_ wamehamia TVE
Ikumbukwe walikuwa kwenye kipindi cha Worship.