FahamuHabari

Haya ndio makadirio ya umri wa watu kuishi duniani

 Kwa mujibu wa jarida kubwa duniani linalohusika kutoa takwimu mbalimbali la World of Statistics limetoa takwimu kuhusu makadirio ya umri wa kuishi kati ya mwanamke na mwanaume dunia nzima.

Takwimu zote duaniani kwa kuzingatia kila taifa ni kwamba Hong Kong inaongoza kwa kuwa na umri wa kuishi wa miaka 82.3 kwa wote huku wanaume wakiwa na 88.1 na wanawake wakiwa na 85.2 huku Tanzania makadirio ya umri wa kuishi ikiwa nni miaka 66.3 ikikua kutoka 66.03. Tanzania makadirio ya umri wa kuishi kwa wanawake ni miaka 69.3 na waaume ni 65.4

Kwa dunia nzima ni kwamba makadirio ya umri wa kuishi kwa wanawake ni miaka 75.6 huku wanaume wakiwa na umri wa miaka  70.8.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents