Makambo aahidi makombe Jangwani

Mshambuliaji wa zamani wa #yangasc Heritier Makambo amerejea tena kwenye kikosi hicho baada kusitisha mkataba wake na timu ya Horoya ya Nchini Guinea.


“Nimefurahi sana kurudi nyumbani, #yangasc ni timu kubwa na klabu kubwa zina malengo ya kuchukua makombe, tumerudi kupambana kuchua makombe wote”- Makambo

Imeandikwa na Hamza Fumo, Instagram @fumo255

Related Articles

Back to top button