Habari

Makamu wa Rais akutana na Balozi wa Sweden nchini (+Picha)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kusalimiana na Balozi wa Sweden nchini, Mhe. Katarina Rangnitt aliyemaliza muda wake aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga rasmi.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt ambaye amemaliza muda wake wa kazi

Tazama picha zaidi:


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais kwa lengo la kumuaga baada ya muda wake wa kazi nchini kumalizika


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt ambaye amemaliza muda wake wa kazi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents