Habari

Makardinali 133 kushiriki uchaguzi wa Papa mpya Mei 7,mwaka huu

Imeelezwa kuwa takribani makardinali 133 pekee ndio wanaotarajiwa kushiriki katika uchaguzi wa kumchagua Papa mpya Mei 07, mwaka huu huko Vatican.

Idadi hiyo imetangazwa na Baraza la Makardinali ambalo limesema kuwa makardinali wote 133 waliochini ya umri wa miaka 80 wana haki ya kupiga kura licha ya kikomo cha awali cha 120 kilichowekwa na katiba ya kitume Universi Dominici Gregis.

Baraza hilo limrsema hiyo ni kwa sababu Papa Francisko aliwateua Makardinali zaidi ya 120 waliokuwa chini ya umri huo hivyo kuwapa haki ya kushiriki katika uchaguzi huo.

Written by Janeth Jovin

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents