Malaika apagawa na kipaji cha mjukuu wa Mbaraka Mwinshe ‘Marissa’ awatahadharisha wasanii wa kike

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Malaika kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweza kutoa ya moyoni kuhusu kipaji cha msanii mwenzake wa kika Marisa ambaye ni mjukuu wa nguli wa muziki Tanzania Mbaraka Mwishe.

Malaika amepost kipande cha wimbo wake na kuandika maneno haya:

“Tatizo unaimba sana na wewe mpaka watu wanaogopa kupost kazi zako trust me najinsi wadada wengi kwenye game wako na mioyo ya maigizo 😂 binafsi naamini kwenye kipaji chako Kwa maana ni kikubwa mno na ipo siku ulimwengu wa burudani utajua ukiacha wale wa karibu yako walio kuzoea uwezo wako go .. goooo… go baby girl @marissa_maina”

 

Related Articles

Back to top button
Close