Habari

Malawi yatangaza wiki mbili maombolezo vifo vya watu 225

Malawi imeanza maombolezo ya wiki mbili kufuatia vifo va zaidi ya watu 225 baada ya nchi hiyo kupigwa na kimbunga Freddy kilichoambatana na mvua iliyosababisha mafuriko.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents