Afya

Mama anayeumwa saratani: nilikuwa natumia mionzi nimeacha inaniunguza (+ Video)

Bongo five leo ilipata nafasi ya kufanya mahojiano na mama mmoja anayesumbuliwa na saratani ya ngozi, akiongea na El Mando ameeleza namna maisha yake yalivyo kwa sasa huku akieleza kuwa alikuwa anaishi darajani.

Mbaya zaidi ni kwamba vidonda vyake vinatoa usaha hivyo ameomba msaada kwa Watanzania.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents