Michezo
Mamelodi yawatoa kimasomaso Waafrika

Mamelodi Sundowns πΏπ¦ imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kushinda mchezo kwenye FIFA Club World Cup 2025 ambapo imeibuka na Ushindi wa Goli 1-0 Dhidi ya timu ya Ulsan HD π°π·.
Mamelodi imekusanya kiasi cha Tsh. Bilioni 5.2 baada ushindi, FIFA Club World Cup timu ikishinda inapata Tsh. Bilioni 5.2 na ikitoka sare Tsh. Bilioni 2.6 Kwenye hatua ya Makundi.