Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Mamia ya vijana wajitokeza kufanya audition ya uigizaji

Siku ya leo imefanyika Audiotion kwa vijana kupitia kampuni ya film ya Halisi iliyopo chini ya Director Isike.

Akiongea na wanahabari Isike amesema kuwa kutokana na waigizaji alikuwa anawatafuta alihisi watajitokeza vijana kama 100 badala yake wamekuja takribani vijana zaidi ta 300.

Mbali na hilo majaji kama @dorahofficial na #Lamatta wametoa maoni yao.

Related Articles

Back to top button