Siasa

Manabii na wanganga wanafufua ? ni matapeli na waongo tunazo kesi zao nyingi sana wanaua watu – Naibu Waziri Chilo (+ Video)

Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi imesema kuwa ipo tayari kukutana na manabii wanaodai kuweza kufufua wafu ili iweze kuwaelimisha na kuwaelekeza kuwa mwenye uwezo wa kuchukua na kurejesha ni Mungu pekee.

Kauli hiyo imetolewa hii leo Mei 17, 2021, Bungeni Dodoma, na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamza Chilo, wakati akijibu swali la Mbunge wa Mtambwe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo Khalifa Mohamed Issa, aliyehoji umuhimu wa serikali kukutana na wale manabii wanaodai kuweza kufufua wafu ili waweze kuwafufua wapendwa wao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents