
Manara anasema kuwa Inaonyesha KAMATI iliiogopa Simba, walikuwa na ajenda gani kukaa kikao kabla??
@hajismanara anaongeza kuwa Yanga wapo Tayari kufungua Kesi Mahakama ya Mpira ya Kimataifa ya CAS na Ataendesha zoezi la Mashabiki wa Yanga kuchanga pesa.
Manara anapigilia mstari wa nchi 6 kuwa HAKUNA MECHI tena ya SIMBA na YANGA kurudiwa.
Video nzima ipo Katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Credit by Abbrah255 & @el_mando_tz