Manchester United wamtimua Ole Gunnar Solskjaer

Manchester United imeamua kuachana na kocha wake, Ole Gunnar Solskjaer kufuatia matokeo mabaya ya 4-1 dhidi ya Watford mchezo uliyopigwa jana usiku kwenye dimba la Vicarage Road.

Kipigo hicho kutoka kwa Watford kimeripotiwa kuwa ndiyo kilichopelekea mabosi wa United kukosa la kufanya zaidi ya kufanya maamuzi magumu mbe ya kijana wao huyo ambaye amewahi kuitumikia United kwa mafanikio makubwa.

 

Related Articles

Back to top button