HabariMichezo

Manchester United yatangazwa kuuzwa rasmi

Wamiliki wa klabu ya Manchester United familia ya Glazers wamekubali kuouza klabu hiyo.

Kupitia Statement iliyotolewa na klabu hiyo wameeleza kuwa katika mpango huo wa kuiuza timu watazingatia uwekezaji kwenye kuboresha baadhi ya maeneo ikiwemo uboreshaji wa uwanja na miundo mbinu mingine.

Inadaiwa kuwa haya yote yanakuja baada ya mahojiano ya Cristiano Ronaldo baada ya kusema kuwa wamiliki wa klabu hiyo familia ya Glazers hawaijali timu wanachoangalia ni pesa tu.

Klabu hiyo imekuwa chini wa familia ya Glazer kutoka Marekani kwa takribani miaka 17 na sasa wameamua kuipiga bei.#Bongo5Updates

Unatamani klabu hii inanunuliwe na watu gani Wamarekani tena au Waarabu ?? (Swipe) kuisoma Statement ya klabu hiyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents