
Shabiki Nguli wa klabu ya Simba maarufu kama Mandala leo mara baada ya kuibuka kwa Ushindi wa Simba dhidi Tanzania prison wa bao 3-0 katika Uwanja wa KMC Complex, ameamua kuwalipua mashabiki wa Yanga waliomkejeli Chasambi mara baada ya kujifunga katika mchezo dhidi ya Fountain Gate.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa @Johnbosco_mbanga