Michezo
Mandala: Yanga imekuwa kama Bajaji mbovu
Shabiki wa klabu ya Simba maarufu kwa jina la mandala leo kuelekea mchezo wa kufuzu hatua ya makundi Kati ya Simba dhidi ya Nsingizini amefunguka kwa kauli za kejeli kwa mashabiki wa Yanga na kudai kuwa Yanga kwa sasa imekuwa kama Bajaji mbovu.
kwa Kuangalia maongezi yote tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongofive
imeandikwa na @johnbosco mbanga






