Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Mandonga: atakayeniongelea vibaya nachukua nyota yake naitumia

Kupitia kipindi cha Recap na Mando amejaribu kupitia baadhi ya interviews za Bondia Mandongo ambazo alizifanya wikiendi hii na moja ya mahojiano aliyoyafanya na baadhi ya maswali aliyoulizwa ni kwamba hamjui Shabani Kaoneka.

Shabani Kaoneka ni Bondia ambaye alimpinga Mandonga KO katika pambano lililofanyika Sumbawanga na ndio pambano lililomuibua Mandonga.

Mandonga pia ameeleza kuwa yeyote atakayemuongelea vibaya atachukua nyota yake na kuitumia kuanzia sasa.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents