Msanii wa filamu ambaye pia ni Fundi magari @uchebe1 amefunguka kuuzungumza alichojifunza kwa @diamondplatnumz .
Uchebe pia amefunguka mengi kuhusu maisha yake pamoja na ofisi yake mpya.
Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5
Written and edited by @yasiningitu