Umbea

Mange Kimambi aibuka kwenye penzi la Diamond na Tanasha kuvunjika “Wasichana wanajipeleka kwake, Diamond ameathirika kisaikolojia” – Video

Mange Kimambi aibuka kwenye penzi la Diamond na Tanasha kuvunjika "Wasichana wanajipeleka kwake, Diamond ameathirika kisaikolojia" - Video

Baada ya kusikika kwa taarifa kuwa DIAMOND ameachana na Tanasha kufuatia post mbalimbali anazopost Tanasha kwenye Insta Story yake Mange kimambi atia neno kwa kuwakanya wasichana wanaojipitisha na kujipeleka kwa Diamond haliyakuwa wanaijua tabia yake
Mbali na hilo Mange amemkanya Diamond na kusema huenda ameathirika Kisaikolojia kwani hafikiriagi kinga.

By Ally Juma.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents