Michezo
Mangungu: Anayevaa jezi za Simba na kuikejeli dawa yake tumeshaipata

Mwenyekiti wa klabu ya Simba upande wa wajumbe Murtaza Mangungu Mara baada ya sare ya 0-0 baina ya Simba na Nzingizini Hotspurs amefunguka kuwa nje ya matokeo ya leo lakini Sifa ya kuwa shabiki wa Simba ni kujiamini zaidi.
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongofive
Imeandikwa na kuandaliwa @witnessflavian24 & @johnbosco_mbanga






