HabariMichezo

Manula na Fei Toto walamba dili, Fei aongea haya

Ni mara chache sana kuona watu kutoka sekta ya michezo hasa wachezaji kupata madili makubwa mara nyingi tumezoea kuwaona wasanii wa muziki na waigizaji.

Kwa upande wa michezo ni mara chache sana leo wamefaidika kulamba dili wachezaji wawili wa Taifa Stars mmoja kutoka Simba ambaye ni @28_manula na mwingine kutoka Yanga feisal194

Kazi yao itakuwa kuhimiza watu kucheza dro mbalimbali za kwenda kuangalia michuano ya Kombe la dunia kupitia Tigo.

Wasikilize kwa makini au fuatilia akaunti za mtandao husika kujia namna ya kucheza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents