HabariMichezo

Manzoki bado ana mkataba, Simba wanakaribishwa mezani- Abdul Wasike

Afisa Habari wa Klabu ya Vipers SC, Abdul Dilshan Wasike amesema kuwa Mshambuliaji wa timu hiyo, Lobi Manzoki ana mkataba mpaka 2025 na hivyo kama Simba SC wanahitaji huduma yake wanakaribishwa mezani.

”Bado ana mkataba mpaka 2025, hatujapata maombi rasmi kutoka Simba,”- Afisa Habari wa Klabu ya Vipers SC, Abdul Dilshan Wasike

 

Related Articles

Back to top button