Burudani
Mapya kuhusu Chief Godlove maswali mitandaoni

hapa anaadika kigogo 200014
Kwa wasiomjua @chief_godlove , File langu likikamilika zaidi nitaeleza hapa. Sasa ipo hivi kulingana na tafiti zangu mpaka sasa.
👉 Kwanza kabisa wanaosali kwa kanisa la huyu jamaa wengi wao ni wamama na wazee walio vizuri kiuchumi. Vijana ni wachache sana
👉 Ibada zote huwa zinafanyika tarehe 20 tu kila mwezi 🤔
👉 Wakati wa ibada wanavaa mavazi meupe na meusi tuu 🤔
Hii dini inaleta Question mark, kwa nn kuwe na masharti ya namna hii?