Michezo

Marcio Maximo alalamikia penati waliyopewa Yanga dhidi ya KMC

Kocha wa klabu ya KMC Marcio Maximo ameikataa wazi penati waliyopewa Yanga dhidi Yao na kusema kuwa haikuwa sahihi, pia amepongeza wachezaji wake namna walivyopambana na kudai kuwa maamuzi ya refa ndio yaliwapelekea kupoteza 4-1.

 

kuangalia video Kamili tembelea ukurasa wetu YouTube Bongofive

 

 

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents