Marekani yasisitiza, itaendelea kuikalia kwa mabavu ardhi ya Afghanistan

Balozi mdogo wa Marekani mjini Kabul amesema kuwa majeshi ya nchi yake yataendelea kuwepo katika ardhi ya

Ross Wilson amesema wanajeshi wa Marekani hawana nia ya kuondoka Afghanistan na suala hilo halimo katika hati ya makubaliano ya amani ya Doha kati ya Washington na kundi la Taliban; hivyo wanajeshi hao wataendelea kuwepo nchini Afghanistan. 

Katika makubaliano hayo yaliyotiwa saini miezi minne iliyopita mjini Doha huko Qatar, Washington iliahidi kuwa majeshi yote ya kigeni yaliyoko Afghanistan chini ya uongozi wa Marekani yataondoka katika ardhi ya Afghanistan miezi 14 baada ya kusainiwa makubaliano hayo

Related Articles

Back to top button